Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,590
- 11,379
Niko poa sanaa🤝Salama mpenz…uko poa lakini?
Niko poa sanaa🤝Salama mpenz…uko poa lakini?
Bado nimelala…wafanya nini cute?Niko poa sanaa🤝
Ndio Nimetoka ibada ya kwanza boss natembeza miguu to homeBado nimelala…wafanya nini cute?
Umetusalia sie wakosefuNdio Nimetoka ibada ya kwanza boss natembeza miguu to home
Ubarikiwe sana cute….ibada ni kitu chema japo leo mie siendi..:.nitajiegesha sana hapa kwa bed leo🥴Ndio Nimetoka ibada ya kwanza boss natembeza miguu to home
Wote..umeamkaje mpendwa?Umetusalia sie wakosefu
Amina .Waumwa au uchovu tu?Ubarikiwe sana cute….ibada ni kitu chema japo leo mie siendi..:.nitajiegesha sana hapa kwa bed leo🥴
Nimeamka poa kbsWote..umeamkaje mpendwa?
Ni Jambo la kheri🤝Nimeamka poa kbs
Nilikuwa naumwa sasa nipo poa….nalipizia yale maangaiko😊Waumwa au uchovu tu?
Pole sana mpendwa🤝hakika Mungu ni mwema kama upo poa ...Nilikuwa naumwa sasa nipo poa….nalipizia yale maangaiko😊
Wengine wakiamkia Ibada Wengine tunatafuta Supu ya kutoa Vant mwilini🥲🥲Ndio Nimetoka ibada ya kwanza boss natembeza miguu to home
Amina….karibu mbeya cutePole
Pole sana mpendwa🤝hakika Mungu ni mwema kama upo poa ...
Ndiyo maisha mkuuWengine wakiamkia Ibada Wengine tunatafuta Supu ya kutoa Vant mwilini🥲🥲
Hapa umenisema na mimi...nimeingia ndani saa tisa na nusu...now niko kwa mangi nazimuaWengine wakiamkia Ibada Wengine tunatafuta Supu ya kutoa Vant mwilini🥲🥲
Niko kyela kwa Mwakyembe ktk msibaAmina….karibu mbeya cute
🤣🤣🤣 na ndiyo maana nikacheka kwanzaHapa umenisema na mimi...nimeingia ndani saa tisa na nusu...now niko kwa mangi nazimua
Kama kuna kuchomwa moto kweli tutachomeka Haswa!!🥲Ndiyo maisha mkuu
Kwani kafariki?Niko kyela kwa Mwakyembe ktk msiba
Haiwezekani,pombe zako ukimaliza warudi home….kwani umeua mtu mkuu…..hizo story za moto zisiwatese bure mkuuKama kuna kuchomwa moto kweli tutachomeka Haswa!!🥲