JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Ila mnaoweza kutulia au kupuyanga kwenye viwanja vya starehe mpaka muda huu nawanyoshea mikono 🙌
Ukianzia Kidimbwi ukaja Juliana ukaona Ubolt uibuke Tips .... Ukasema acha nimalizie wavuvi Unakumbuka mara 1245 Hujatulia Unasema acha nmalzie Kitambaa nikalale ..... Kitambaa Unaskia small planet pana vibe la alfajiri Aaah unawaza niende Tabata ila Mbona Pameshakucha!!!
 
Hapo bado starehe pendwa ya Adam na Hawa hujaipata😆😆
 
Aliamua akate kona baada ya kuona vijana wa Dar hamujamkaribisha ipasavyo. Angekatiza juu ya ardhi tokea pwani ya Kijichi kuja kuibukia Mbezi beach tuone hivyo vijengo vya katikati hapo vingestahimili rabsha ya bi Hidaya?🤣🤣
Dah angevuruga vby mno bora kapita huko
 
Back
Top Bottom