Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,900
- 82,137
20:28 baridi
Mwanetu anaependa kudeka na kulialia 😂😂fundi bishoo, mwanetu Hana baya yule, msela flani hivi noma kiroho safi
nipo somewhere in mbeya inasoma 21°C20:28 baridi
View attachment 2981883
sema ana kuja na misemo inayo trend😄😂Mwanetu anaependa kudeka na kulialia 😂😂
Hana bayaa.sema ana kuja na misemo inayo trend😄😂
Familia yule, no matter what.Hana bayaa.
Kuna siku nilishare screenshot ya Chrome kwenye pc, group la WhatsApp kazini. Kuna kitu naonesha.20:28 baridi
View attachment 2981883
Wahi silahapowaaa upo gudi
Kujipamba kwa uoga00:00 in advance
Trending xxxx🤓🤣😂Kuna siku nilishare screenshot ya Chrome kwenye pc, group la WhatsApp kazini. Kuna kitu naonesha.
Kuna hii torrent site inaitwa 1337X nadhani. Aisee watu walidhani mambo yetu. Maana ile X ni nyekundu.
View attachment 2981956
Aisee niliishi kwa shida sana. Watu waliniundia group jingine. Kunisema.
Nililia sanaTrending xxxx🤓🤣😂
Sasa uli Lia kisa nini??Nililia sana
Nilikua nimeacha nna kama week 2 sijaangalia, wao wakasema nimeangalia.Sasa uli Lia kisa nini??
aisee sijui na muda gani, hata sikumbuki kabisa 😂Nilikua nimeacha nna kama week 2 sijaangalia, wao wakasema nimeangalia.
Mi jana tuaisee sijui na muda gani, hata sikumbuki kabisa 😂
hivi una jua dopamine??Mi jana tu
Hii Biology sasa.. tunarudishana shulehivi una jua dopamine??
Kaka Mimi jobless pro max, hata shule sija wahi kwenda😆😂Hii Biology sasa.. tunarudishana shule