Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,146
Ufanye urudi sasa nikufanyie party bebi
sawa baba angu ngoj pasak iishe nitoke huk kijijn kwa mama nije tuendelee kukuza penzi letu[emoji8][emoji8]
Ufanye urudi sasa nikufanyie party bebi
basi pole poleWewe si umemkataa yule jamaa
Yaani mtu tunachitchat NAE hapa anafungua I'd mpya kweli? Aje live😂huyu tutamkabidhi kwa I'd mupya tulikubaliana naye
Uzi wenyewe ni huu Moyo wangu umeangukia wanawake watatu humu na wote wamenikataasawa baba angu ngoj pasak iishe nitoke huk kijijn kwa mama nije tuendelee kukuza penzi letu[emoji8][emoji8]
Vzr sana...uje na kabinti kamoja kigori toka huko kijijini awe mke wangusawa baba angu ngoj pasak iishe nitoke huk kijijn kwa mama nije tuendelee kukuza penzi letu[emoji8][emoji8]
Ngoja aje😂Yaani mtu tunachitchat NAE hapa anafungua I'd mpya kweli? Aje live😂
Najua unamdanganya samejami sitaki kuungana na ninyi jamn[emoji23] niacheni na mpenz wangu wa maisha chonde chondeee
Kumbe napangwa tuNajua unamdanganya sameja
Mi siongei sana, wakati anasema wewe na To yeye mashuhuda zake tehhhh, Siwaingilii na mtu wenu dadaYaani mtu tunachitchat NAE hapa anafungua I'd mpya kweli? Aje live😂
Mpaka akaufata PM ukashindwa kumuonea hurumaMi siongei sana, wakati anasema wewe na To yeye mashuhuda zake tehhhh, Siwaingilii na mtu wenu dada
Nimeona , nkamuteMi siongei sana, wakati anasema wewe na To yeye mashuhuda zake tehhhh, Siwaingilii na mtu wenu dada
Amekushika nini husikii kitu oote samejaKumbe napangwa tu
Vincenzo Jr tutafutiee yule mtu mupya .. mrembo Hope amemiss story zakeNimeona , nkamute
Huyo jamaa namuona humu Toka juzi sijui ni muhuni Gani yule ila tutamjua tu hapa 🤣Vincenzo Jr tutafutiee yule mtu mupya .. mrembo Hope amemiss story zake
😂Vincenzo Jr tutafutiee yule mtu mupya .. mrembo Hope amemiss story zake
Kamtafute we upo sharp halaf kona zote unazijua humuHuyo jamaa namuona humu Toka juzi sijui ni muhuni Gani yule ila tutamjua tu hapa 🤣
Uzuri mod wakiona Id zinnafanana wanaunga sijui ni nani yule mdau