Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,146
Huyu jirani anataka niteme big G kwa karanga za kuonjeshwa
na mmi nilitaka kushangaa et,, penzi letu hawaliwezii
Huyu jirani anataka niteme big G kwa karanga za kuonjeshwa
Niambie jirani..heri ya Pasaka Jirani
sameja kuna chenja inasemaNimeshashtuka na mimi wanataka tuachane ili wakuchukue
🤣😂😁sameja kuna chenja inasema
babu jinge eeh faida yako niiini,
kulala lala mali yako yaibiwa
Jirani mie najilewq tu hapa .niko pekee yangu kama jini vileasantee na kwako pia kheri ya pasaka jiran yangu
sameja kuna chenja inasema
babu jinge eeh faida yako niiini,
kulala lala mali yako yaibiwa
Jirani mie najilewq tu hapa .niko pekee yangu kama jini vile
Jirani mie naishi kambini pangoni huku sina familiafamilia imeenda wapi jirani
Kuna ule wimbo wa Zuchu "Litawachoma sana" unaujua kweli?sameja kuna chenja inasema
babu jinge eeh faida yako niiini,
kulala lala mali yako yaibiwa
Bora nisage kunguni, sisi tulio singo tunadhambi gani kwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka nianze april nikiwa singooo,, siwez kuruhus hil litokee
Bora nisage kunguni, sisi tulio singo tunadhambi gani kwani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka nianze april nikiwa singooo,, siwez kuruhus hil litokee
Kuna ule wimbo wa Zuchu "Litawachoma sana" unaujua kweli?
Wewe si umemkataa yule jamaaBora nisage kunguni, sisi tulio singo tunadhambi gani kwani
Bora nisage kunguni, sisi tulio singo tunadhambi gani kwani
Wasisahau na ule wa "tena" ya Harmonizena ule mwingine wa zuchu na d voice" hili penzi limemshinda shetwani mkaa kichwani,, mtaliweza nyinyi wapambe wakaa vibarazani"".. asisahau kupita na hapa si ndio beiby
Wewe si umemkataa yule jamaa
Wasisahau na ule wa "tena" ya Harmonize
Ufanye urudi sasa nikufanyie party bebindo hapo sas alaf anataka na mmi niwe singo akuuuu siwez kuruhusu wakuchukue beiby wangu