Winnone
JF-Expert Member
- Jul 24, 2022
- 1,521
- 4,146
Atakua kwa huyo jamaa
beiby[emoji15]
Atakua kwa huyo jamaa
🤣😁Hapo sawa babe maana Kuna jamaa mpaka uzi kakuanzishia kule
Yule mtakae muacha nipeni mimi
Nimeshashtuka na mimi wanataka tuachane ili wakuchukuebeiby sio kweli jamn[emoji17] usisikilize maneno ya watu
Hata hatujaachana vizuri ushammendea[emoji23] Nimeghairi simuachi sasa[emoji41]
Kabisa wifeyeah ngoj tujipange pange ili tusiende mikono mitupu
Hope urassa you are needed cute![emoji7]
Huyu jirani anataka niteme big G kwa karanga za kuonjeshwahapan dear huy ni jirani tu mi namuamini shem V
yule ma like like rara roro
Ndo anamchukua waifuu? Ngoja ni screenshot kabisa ushahidi huu
Hello shemeji
Hapo sawa babe maana Kuna jamaa mpaka uzi kakuanzishia kule
Asante karibu sana kigamboni shemeji yanguhellow,, kheri ya pasaka shem wangu
Nimeshashtuka na mimi wanataka tuachane ili wakuchukue
Aikoooooo! Bro anataka picha za ushape huku unampa ashki umenenepa now . am going home to deadumeamua kunisagia kunguni kias hiki[emoji81],, yule ni bro bwana[emoji23]
Kabisa wife
Niambie jirani..heri ya Pasaka Jiranijirani[emoji23][emoji23][emoji23]