Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,590
- 11,379
Njoo na I'd yako , yaani tunakutaja na unatokelezea kama umeme😂😂😂wewe huyo
Njoo na I'd yako , yaani tunakutaja na unatokelezea kama umeme😂😂😂wewe huyo
Naunga mkono hoja jamaa anazingua sanaEeh..wakuu kama mshaanza kuja na id zingine..mie mnanikosa kwa kweli
Na uzi mnaenda kuuharibu huu
Niwatakie maisha mema
Ndiyo outcome za agenda za vikao mnavyohudhuria huko kiumeni.Eeh..wakuu kama mshaanza kuja na id zingine..mie mnanikosa kwa kweli
Na uzi mnaenda kuuharibu huu
Niwatakie maisha mema
😁🤣😁😁😁😁😁Ndiyo outcome za agenda za vikao mnavyohudhuria huko kiumeni.
Usiku wa manane upo siku zote
khaaa! nilishikwa na bumbuazi na ile speed, lakin Hope kwaniniNjoo na I'd yako , yaani tunakutaja na unatokelezea kama umeme😂😂😂
Jamaaa naona kapotea Tenakhaaa! nilishikwa na bumbuazi na ile speed, lakin Hope kwanini
Maybe wameungana na yule babu kunirogaAmekushika nini husikii kitu oote sameja
🤣😁😁😁😁Maybe wameungana na yule babu kuniroga
Nenda na wanaoenda sambamba hao wanaoharibu ni ku (ignore) tuEeh..wakuu kama mshaanza kuja na id zingine..mie mnanikosa kwa kweli
Na uzi mnaenda kuuharibu huu
Niwatakie maisha mema
Soon mods wataunganisha IdJamaaa naona kapotea Tena
Kabisa we muache watamla kichwa mda si mrefuSoon mods wataunganisha Id
Jamaa akirudi mnitag aseh🤣😁😁😁😁
Naunga mkono hojaNenda na wanaoenda sambamba hao wanaoharibu ni ku (ignore) tu
Akija nakutag mkuuuJamaa akirudi mnitag aseh
Sawa mkuuAkija nakutag mkuuu
Naona kajaAkija nakutag mkuuu
.🌚uliza swali lakoSawa mkuu
Mkuu Sema yupi kati ya watatu tukupe uwe huruSawasawa