JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mi Niko poa tu,sema kiasubuhi hiki nataka mbegu yenye good future ya mtoto....fanya mpango basi love
Usiwaze kipenzi nakusigezea mzigo wa motooo
Si unajua mambo yangu
Kaa mkao wa kula
Wanakuja mapacha kabisa
 
Ikoje ikoje?
Movie kabla sijaangalia huwa nasoma maudhui yake..

Shetani alikaa zake kuzimu akaona yupo bored akaamua aje dunia... Alipatwa na msala akasolve akawa anasaidiana na police kama consultant....


Sema icheki nimekumbuka kuna mdau alikuwa anafuatilia yule hajawai fuatilia movie kama ni mbovu


Ngoja nikitulia niishushe nikupe support ya kuangalia
 
Back
Top Bottom