Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
Hongera sana mkuu,maisha ni sasa kula bata....tuonane jioni...mi nimejipumzisha kidogoTushaamka na sasa tuko Beach tunakula upepo..tukimwagilia moyo ..muda ufike tuingie lindo
Hongera sana mkuu,maisha ni sasa kula bata....tuonane jioni...mi nimejipumzisha kidogoTushaamka na sasa tuko Beach tunakula upepo..tukimwagilia moyo ..muda ufike tuingie lindo
Uko vzr unalala saa hzHongera sana mkuu,maisha ni sasa kula bata....tuonane jioni...mi nimejipumzisha kidogo
Sipo njema sanaUko vzr unalala saa hz
Hahahahaha..mnasemaga tu...nina uzoefu na vijana..Mkubwa siko kundi Hilo, hata uki Nipa deal la kuosha maiti naruka nalo.
PoleSipo njema sana
Mkuu siko kundi hilo, Kama namudu - kwanini niogope ukame..Hahahahaha..mnasemaga tu...nina uzoefu na vijana..
Asante sanaPole
Kila wakatiMungu ni mwema sana
Amina mkuuKila wakati
Safari njema mkuuSaa 12:15
Ndio nakamata chuma Shabiby saa hii Dar - Dodoma
Iko wewe raia wa nchi gani??Saa 12:15
Ndio kwaanza nimetoka ofisn nakamata chuma Shabiby saa hii Dar - Dodoma
Ahsante sana chief..Mungu akipenda kesha mchana nageukaSafari njema mkuu
Nilisha hamia Burundi..Huku sukari BwerereeIko wewe raia wa nchi gani??