toobiter
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 1,428
- 2,813
Kama muda huuKumbe kuna muda JF inakua kimya
Kama muda huuKumbe kuna muda JF inakua kimya
Wanakoroma tu saa hizi, wengine wanaota wanakojoa kitandaniKama muda huu
Hahaha, dah mkuu uko vizuri.Ndio naamka
HahahahahahaHahaha, dah mkuu uko vizuri.
👉Tunaomba utune connection ya mkate na sisi wadogo zako.
Serious mkubwa, fanya angalau tone la maji lini shukie jobless Mimi.Hahahahahaha
Hahahahahaha...mie mlinzi tu mkuu hapa naamka naenda zangu beach kupunga upepo niingie lindoSerious mkubwa, fanya angalau tone la maji lini shukie jobless Mimi.
Hahaha, nipe na Mimi huo ulinzi mkuu.Hahahahahaha...mie mlinzi tu mkuu hapa naamka naenda zangu beach kupunga upepo niingie lindo
🥴Walinzi
Amkeni
Amkeni
Amkeniii
Tushaamka na sasa tuko Beach tunakula upepo..tukimwagilia moyo ..muda ufike tuingie lindo
Nyie vijana mna mambo mengi ..unaeza pelekwq sehemu ukasema hapafai ..mnataka ACHahaha, nipe na Mimi huo ulinzi mkuu.
👉 Jobless nione mwanga
Mkubwa siko kundi Hilo, hata uki Nipa deal la kuosha maiti naruka nalo.Nyie vijana mna mambo mengi ..unaeza pelekwq sehemu ukasema hapafai ..mnataka AC