Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,995
- 189,579
0336Hrs
17 February 2024
Saturday
17 February 2024
Saturday
Niko hapa chimboKaribu Jamvini Mkuu
AsanteMlale salama
Mjep na wanausiku mnene wote.Bye
Niko hapa chimbo
Mlale salama
Mjep na wanausiku mnene wote.Bye
00:15
Nawaza kwa kimya!!, Hivi wakati first world countries ziki tamba kuhusu viwanda na tech.
Sisi tuko wapi??,
Jamaa Wana tengeneza viatu kwa cherehani, sisi hata stick za meno ni kasheshe.
Wana gari za umeme, sisi hata tv Hatuwezi ?;!
Generation iliyo Barikiwa taarifa, ime kalia kutukanana mtandaoni!!
Kweli Ni majangaHakuna Aliyeturoga Bali Tumejiroga Wenyewe Kwa Kubweteka Na Kuridhika Na Hali.
04:21 ni mtazamo, masela msi jenge chuki
Yaan acha tu mkuu😭Unapenda Sana Kulala Ndio Maana Unanenepa.
Barikiwa sanaAsante
Uwe na usiku mwema mrembo