Makao makuuTunaanzia wapi leo lindo
Sawa sawaMakao makuu
Kivu na goma tunalinda dhahabu dhidi ya waasi🔥🔥🔥Tunaanzia wapi leo lindo
Hahahahaha....ahsante prof jay, majani na ulamaa mmegusa ninapopatakaNa amini Askari shupavu ni lazima upitie Depo’
Vinginevyo ndugu yangu utakuwa’ unapaka rangi upepo.
Ni mtazamo-zamo, Mlinzi usiogope kivuli
Bora ukemee mabaya na usifie mazuri
Ni mtazamo-zamo, Mlinzi’ usikwepe umande
Tresor Mandala
Kesho naleta kisa Cha Afande sele na mabifu yakeHahahahaha....ahsante prof jay, majani na ulamaa mmegusa ninapopataka
Hahahahahaha..haina noma mkuuKesho naleta kisa Cha Afande sele na mabifu yake