Hakuna kulalaCO Walinzi wame lewa😀🤣
@Nifah njoo pm01:51
Hapa leo hapanogi bila comment yake 🥹
Sijalewa sana bado najielewaNo malice.........
Hakuna kulala
Lindo liimarishwe
PM yangu JF ni mahsusi kwa mtu mmoja tu, kaka mzuri.@Nifah njoo pm
Mbona walia02:11
[emoji24]
Mbona walia02:11
[emoji24]
Nilimmiss kaka mzuri, huwa silali hadi niseme nae.Mbona walia
Wow!Nilimmiss kaka mzuri, huwa silali hadi niseme nae.
Kaja nimefurahi [emoji28]
Na mimi tuPM yangu JF ni mahsusi kwa mtu mmoja tu, kaka mzuri.
Asante
Weh, tokea lini? Usiniletee balaa bure.Na mimi tu
Tatizo HiloMi sonona inanitafuna acha nikae hapa kuupunga usiku
Morning05:38
Ahsante sana mkuuPole Sana mkuu, nakutakia mapumziko mema
Hahahahaha kwani na yeye huwa anaingia lindo ?01:51
Hapa leo hapanogi bila comment yake 🥹
Hahahahahaha...promo ya kaka mzuri si mchezoPM yangu JF ni mahsusi kwa mtu mmoja tu, kaka mzuri.
Asante