Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
Sawa,ila bado nina usingiziMorning..
Ukasali sasa
Sawa,ila bado nina usingiziMorning..
Ukasali sasa
Tena analinda kwa weledi 😆 😆Hahahahaha kwani na yeye huwa anaingia lindo ?
Lecturer wangu wa marketing aongezwe mshahara, eti? LolsHahahahahaha...promo ya kaka mzuri si mchezo
Hahahaha..mie nimekaa kwa kutulia nasubiri useme...Lecturer wangu wa marketing aongezwe mshahara, eti? Lols
Hamna bwana, nampenda ndio maana. Na hapa bado hata sijaanza kusema, kaeni kwa kutulia.
Hahahahaha....vipi tutarajie cc km tulizozoeshwa na wengine?Tena analinda kwa weledi 😆 😆
Si ulale ...baadae nayo sikuSawa,ila bado nina usingizi
Kabisa,siamki mpaka mchana na mvua hiiSi ulale ...baadae nayo siku
Hapana.Hahahahaha....vipi tutarajie cc km tulizozoeshwa na wengine?
Hope umeamka poa piaNatumai mna endelea vyema wakubwa
Heshima yako dadaWeh, tokea lini? Usiniletee balaa bure.
Uache ukorofi huoHeshima yako dada
Hahahahaha...ila naona hampishani sana ktk show off km hz...safi sana 🙏 tuletee habari mpk tusemeHapana.
Nimeacha🙏Uache ukorofi huo
Hahahahaha...wadada bhanaWeh, tokea lini? Usiniletee balaa bure.
Hayo ndiyo mambo.Asubuhi njemaNimeacha🙏
Asante boss wanguHayo ndiyo mambo.Asubuhi njema
Afu mkaka yupo kimya....Nifah amejaaliwa kupenda huyu kipenziHahahahaha...wadada bhana
Amina 🙏🏽Asante boss wangu
Uwe na asubuhi njema pia