JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Jana pombe zilinizidi...nikachemka kuingia humu.
Manake ningeingia na tungi, ningevurunda habri!!!
Nataka weekend hii nimalize shughuli zangu zoooote, niwe safi ili nijiandae na KWARESIMA inayoanza siku ya Jumatano arifu!!
Dah shangazi una penda mtungi😀🤣, mi sija wahi hata kuonja😀
 
I mean no malice to nobody
FB_IMG_17075632204689879.jpg
 
Back
Top Bottom