Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
Mi siyo mzuri wa sura bhana,nimejaaliwa moyo mzuri wa kukukumbatia ukajisikia vyema daima🤣🤣🤣🤗Watu wazuri huwa hawadumu, labda ilitakiwe uwe umesha rest in peace
Mi siyo mzuri wa sura bhana,nimejaaliwa moyo mzuri wa kukukumbatia ukajisikia vyema daima🤣🤣🤣🤗Watu wazuri huwa hawadumu, labda ilitakiwe uwe umesha rest in peace
Yaah nilimaanisha hao hao watu wazuri wa moyoMi siyo mzuri wa sura bhana,nimejaaliwa moyo mzuri wa kukukumbatia ukajisikia vyema daima🤣🤣🤣🤗
To yeye Mme mponza ndugu yangu, kala ban😆🤣Yaah nilimaanisha hao hao watu wazuri wa moyo
Sitter😆Hili chimbo kitambo sana sijaja kukesha lindoni
Nimekuja na gwanda kabisa hamna mbu😀financial services leo ubebe dawa ya mbu, maana lindo ni zito 😆🤒
Hapa mbona tuta Linda, vipi sumbawanga mapeazi tayari??Nimekuja na gwanda kabisa hamna mbu😀
Hahaa yapo ya kutosha au tukuagizie kwenye bus mkuu?Hapa mbona tuta Linda, vipi sumbawanga mapeazi tayari??
Hivi huwa Wana Lima wapi??,Hahaa yapo ya kutosha au tukuagizie kwenye bus mkuu?
Kaka mwenzio nimeweka kambi kule kwenye uzi wa wapendanao huku nimepita tuu kuangalia usalamaSitter[emoji38]
Ni huku Sumbawanga mashambaniHivi huwa Wana Lima wapi??,
Hayo mashambani yako maeneo gani??.Ni huku Sumbawanga mashambani
na wewe hupoi😆Kaka mwenzio nimeweka kambi kule kwenye uzi wa wapendanao huku nimepita tuu kuangalia usalama
Maisha yenyewe mafupi kaka yangu hakuna kupoa wala kuboana wewe hupoi[emoji38]