Lindo gumu sana yaani nimelala saa 2 aisee😀01:44 financial services ume toroka😀😀
Ha😀, nita kuja kuku chapa- maana hata mwafunzi halali hivyo🤣Lindo gumu sana yaani nimelala saa 2 aisee😀
Maisha mafupi haya acha nienjoy😀😀 leo nalala saa 12 kabisa, so nitoeni kwenye lindo mapemaa😀Ha😀, nita kuja kuku chapa- maana hata mwafunzi halali hivyo🤣
Hahahahaha02:04
Akishasema ananipenda, usingizi huu hapa!
Nilale sasa…
HahahahahaMaisha mafupi haya acha nienjoy😀😀 leo nalala saa 12 kabisa, so nitoeni kwenye lindo mapemaa😀
Hahahahaha..we hufai kuwa lindo uzi utaibiwa huuLindo gumu sana yaani nimelala saa 2 aisee😀
Sema kulala hivyo ni rahaMaisha mafupi haya acha nienjoy😀😀 leo nalala saa 12 kabisa, so nitoeni kwenye lindo mapemaa😀
Lindo limenishinda kabisa ikifika saa 2 tu nipo hoi na mausingizi😀😀Hahahahaha..we hufai kuwa lindo uzi utaibiwa huu
Hahahahaha..pole sanaLindo limenishinda kabisa ikifika saa 2 tu nipo hoi na mausingizi😀😀
😀😀Sema kulala hivyo ni raha
View attachment 2897537
Ahsante mkuu, vipe wewe unatoboa hadi usiku wa manane?Hahahahaha..pole sana
Mimi kazi ya kuu ni ulinzi...hivyo lindo ni lzmAhsante mkuu, vipe wewe unatoboa hadi usiku wa manane?
Kuna kipindi nili kuwa nalala saw 1 usiku, I miss those days 🤒
Hapo ulikua bado unakula kwa mama eeh haukua na bill yoyote hadi vocha unawekewa😀😀Kuna kipindi nili kuwa nalala saw 1 usiku, I miss those days 🤒
Aisee, hapana ndo nili kuwa nime ingiia sehemu fulani.Hapo ulikua bado unakula kwa mama eeh haukua na bill yoyote hadi vocha unawekewa😀😀
Sema ukweli mkuu siyo dhambi kulipiwa bills na wazazi😀😀Aisee, hapana ndo nili kuwa nime ingiia sehemu fulani.
👉So nafurahia routine Ile, bill zangu nili lipa mwenyewe 😀🤣
Acha basi 😀😀, au we ndo uli lipiwa.Sema ukweli mkuu siyo dhambi kulipiwa bills na wazazi😀😀