JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mkuu mababu zetu Hawa kuteseka, ili tuwe wapumbavu.
👉Yaani huwezi kuwa fit mpaka kahawa??, That's how you have trained your damn mind iwe lame kiasi hicho??

huo ni uraibubtu, figure out una jitoa vipi- naweza kaa hata wiki- nika lala lisaa 1-2 tu.
👉Na masaa mengine nikawa fresh kabisa.
Kabla sijaanza kuwa natumia kahawa nilijipima nakuona siwezi kutuboa ikifika saa kumikumi akili inakuwa imechoka na ndo unakuta kumekucha bado vipengele vinazid kuongezeka inabid ukimbizane navyo ndo hapo nikajikuta naanza kutumia kahawa ila kwangu naona kinanikataa kuna wengine wakinywa mda wakutoka kazini wanapata usingiz fresh ila mimi ndo kasheshe ndo maana nikaja huku kuomba ushaur kama kuna namna naweza nikafanya zisinilitee athar hizo au kama kuna njia nyingine mbadala unayoona ni safe zaidi unaweza kushauri
 
Maji na limao au ndimu si una vijua??
 
Na ndomana nikasema kama kuna njia za kupunguza hizo side effect basi nakaribisha ushauri au kama kuna njia nyingine mbadala unaweza kunishauri itakuwa vyema

Au pengine hiyo kahawa unakunywa unaweka nyingi inakuwa too strong? Labda tuambie kwenye kikombe cha kawaida cha 200mls unaweka vijiko vingapi vya ukubwa gani vya kahawa?
 
Huwa naweka viwili au vitatu vijiko hivi vya chakula, kikombe kidogo cha chai nafikiri ndo hivyo 200 mls
 
Back
Top Bottom