Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,407
- 102,441
Hapana nataka kujaribu kumsaidia kama kweli yuko serious. Kwa sababu mitandao hii ina mengi!!!😂😂
Hapana nataka kujaribu kumsaidia kama kweli yuko serious. Kwa sababu mitandao hii ina mengi!!!😂😂
Huwa naweka viwili au vitatu vijiko hivi vya chakula, kikombe kidogo cha chai nafikiri ndo hivyo 200 mls
Unaweka kahawa nyingi mno!!! Kwenye hizi Mug za kawaida ambazo ni wastan wa 200mls weka about 5g ya kahawa or less ambayo ni around robo tatu ya kijiko KIDOGO cha chai au weka kijiko kidogo cha chai cha MFUTO not HEAP. Jaribu hivyo then lete majibu.Huwa naweka viwili au vitatu vijiko hivi vya chakula, kikombe kidogo cha chai nafikiri ndo hivyo 200 mls
Tatizo lako unakunywa kahawa ili uweze kufanya kazi zako lakini inakuathiri. Intelligent businessman amekujibu vizuri tu kwenye post zake.
Shukran sana basi sikufikir kama nilikuwa najioverdose, ntafanya hivyo kisha ntaleta mrejesho tukijaaliwaUnaweka kahawa nyingi mno!!! Kwenye hizi Mug za kawaida ambazo ni wastan wa 200mls weka about 5g ya kahawa or less ambayo ni around robo tatu ya kijiko KIDOGO cha chai au weka kijiko kidogo cha chai cha MFUTO not HEAP. Jaribu hivyo then lete majibu.