KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,882
- 40,051
Tumbo limeniharibia usingizi wangu......tangu saa saba naendesha tu.........
Class B au C? Kunywa maji mengi usiwe dehydratedTumbo limeniharibia usingizi wangu......tangu saa saba naendesha tu.........
Ndio najaribu kushindana na maji hapa.....dah! Hii ni adhabu hii....Class B au C? Kunywa maji mengi usiwe dehydrated
Pole sana kunywa maji ya kutoshaTumbo limeniharibia usingizi wangu......tangu saa saba naendesha tu.........
Chukua glass ya maji, week vijiko 3 vya sukari, viwili vya chumvi.Tumbo limeniharibia usingizi wangu......tangu saa saba naendesha tu.........
Ngoja ni simplify, ushasema uko sensitive na caffeine.Ujinga wangu uko kwenye nini
Nature ya kazi zangu zinanihitaji niwe active mda mwingi nisipo pata hata kikombe kimoja cha kawaha kazi inakuwa ngumu zaidi maana akili na mwili vinahitaji kuwa active muda woteNgoja ni simplify, ushasema uko sensitive na caffeine.
👉Then why you keep drinking product zenye elements hiyo??,
Hata mimi nimemshangaa!!! Anafahamu kosa analofanya and yet analalamika!!! Ngoja nimuite To yeye labda anaweza akamsaidia.Ngoja ni simplify, ushasema uko sensitive na caffeine.
👉Then why you keep drinking product zenye elements hiyo??,
That means bila kahawa, your nothing at all ??Nature ya kazi zangu zinanihitaji niwe active mda mwingi nisipo pata hata kikombe kimoja cha kawaha kazi inakuwa ngumu zaidi maana akili na mwili vinahitaji kuwa active muda wote
Siku hizi nasema, mababu zetu hawa kuteseka ili tuwe wapumbavuHata mimi nimemshangaa!!! Anafahamu kosa analofanya and yet analalamika!!! Ngoja nimuite To yeye labda anaweza akamsaidia.
Hapana ila siwezi kutoboa masaa mengi sometime saa tatu ya usiku inaweza kukuta bado uko kazini na hapo umeingia kuanzia saa moja asbh japo mara chache katika wiki naweza kupata hata siku moja au siku mbili za kuwa free siku nzima kipindi hichi huwa situmii kabisa zaid ya kushinda nimelala tu.That means bila kahawa, your nothing at all ??
Hakuna binadamu yoyote aliyezaliwa kutoka kwenye tumbo la mwanamke akawa ACTIVE MUDA WOTE!!! HAKUNA!!! Tumeumbwa kwa damu na nyama na mifupa!!! There is no way ukawa active 24/7 from January to December!!! Pata muda upumzike.Nature ya kazi zangu zinanihitaji niwe active mda mwingi nisipo pata hata kikombe kimoja cha kawaha kazi inakuwa ngumu zaidi maana akili na mwili vinahitaji kuwa active muda wote
Mkuu mababu zetu Hawa kuteseka, ili tuwe wapumbavu.Hapana ila siwezi kutoboa masaa mengi sometime saa tatu ya usiku inaweza kukuta bado uko kazini na hapo umeingia kuanzia saa moja asbh japo mara chache katika wiki naweza kupata hata siku moja au siku mbili za kuwa free siku nzima kipindi hichi huwa situmii kabisa zaid ya kushinda nimelala tu.
Hakuna mahali nimesema nafanya kazi masaa 24 jaribu kurudi nyuma utaelewa nimeomba ushauri juu ya niniHakuna binadamu yoyote aliyezaliwa kutoka kwenye tumbo la mwanamke akawa ACTIVE MUDA WOTE!!! HAKUNA!!! Tumeumbwa kwa damu na nyama na mifupa!!! There is no way ukawa active 24/7 from January to December!!! Pata muda upumzike.
Tatizo lako unakunywa kahawa ili uweze kufanya kazi zako lakini inakuathiri. Intelligent businessman amekujibu vizuri tu kwenye post zake.Hakuna mahali nimesema nafanya kazi masaa 24 jaribu kurudi nyuma utaelewa nimeomba ushauri juu ya nini