Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
Uwe unaquote comment yangu...huku unakoandika inakuwa mbali kidogo mie kujuaDaah kitambo dear
Umemmiss nani?I MISS YOU
1:00 AMMida kama hiyo uliyoandika hii post, leo Njoo!
OkLeo naona nitakavyotoboa asubuhi hii hapa
😳 Yaan OK ndiyo umemaliza kunifariji? Au mi ndo sijaelewa?
Mvua za kwetu kisanga! Usiku mida kama hii inanyesha ikifika mchana jua plus joto1:00 AM
haya nimekuja, usininyime leo😋
😀😳 Yaan OK ndiyo umemaliza kunifariji? Au mi ndo sijaelewa?
Hi issue Ina hela kinyama, 🤣🤒new shift
Nipo mwochori naanda watu wa kutoka asubuhi