😂😂😂😂02:20 Nakojoa pazuri 🤒
Bado05:41 kumekuchaaaa
Haya,amka sasa😶Bado
NimeamkaHaya,amka sasa😶
Mi bado aisee,nimejilaza tu na kimvua hiki😜Nimeamka
Leo nyie mnaenda job?Nimeamka
Hapana sisi walimu leo tunapumzika Mapinduzi holidayLeo nyie mnaenda job?
Ndo ivo ni full kiyoyozi....ila ualimu haukufai em fanya kustaafu kabla ya muda nitakuongezea mtaji...umenielewa?Hapana sisi walimu leo tunapumzika Mapinduzi holiday
Hapana rafikiNdo ivo ni full kiyoyozi....ila ualimu haukufai em fanya kustaafu kabla ya muda nitakuongezea mtaji...umenielewa?