Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,408
- 102,438
Wame nipa u admin was group la watsapp, dah naona Raha kuwa remove member😁😀😂🤣
mkuu upo serious wewe ni diener?new shift
Nipo mwochori naanda watu wa kutoka asubuhi
Ngoja waanze kumpigia makelele huko ndani😁🤣😂mkuu upo serious wewe ni diener?
kazi nzuri hiyo naskia inalipaNgoja waanze kumpigia makelele huko ndani😁🤣😂
Sana lakini ni jau kaka naskia inabagua kama majini hawakupendi wanakuona jau wanakusumbua Kila mda utaskia unaitwa 🤣😂😁kazi nzuri hiyo naskia inalipa
Duh wapumzike kwa amaninew shift
Nipo mwochori naanda watu wa kutoka asubuhi
Kwenye keyboard au 😅1:30 AM Nipo la 3 mtoto anazidi kunifanya nimpe mtaji wangu wote wa mererani nakupenda sana Anna
Aikoooh Amka ukakojoe mkuu1:30 AM Nipo la 3 mtoto anazidi kunifanya nimpe mtaji wangu wote wa mererani nakupenda sana Anna