JamiiForums Usiku wa manane
Nimeshaacha hayo makitu,niko bize na kusawazisha vilima na kufukia mabonde maana ufalme wa Mungu unakaribia
Hallelujah, sifa na utukufu ni kwake yeye aliyetuumba kwa namna ya kipekee na ya kustaajabisha.
Nikutakie usiku mwema, nisije badae nikasinzia kwa Ibada. Alamsiki.
 
Ohoooh huku tumefika mbali sana, basi tufanye kesho uwahi darasani kuna zawadi yako nzuri nimekuandalia
Wewe nae hutaniwi
Zawadi !? Kwa lipi nililolifanya la kustahili zawadi? Au umesahau kuwa zawadi huwa ni ya ushindi tu? Kamwulize Sikamona atakukumbusha hilo
 
Back
Top Bottom