Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Njoo uthibitishe hili dai lako mbele ya Joseverest![]()
![]()
![]()
Japo sijui kiswahili, ila naona kuna dalili ya uchochezi hapa

Njoo uthibitishe hili dai lako mbele ya Joseverest![]()
![]()
![]()

Mmmmh! Nina wasiwasi na wewe.....Mimi nilikuwa mshabiki miaka ya nyuma sasa hivi nishaacha hata wachezaji wa dot.com siwajua, nimebaki kuwajua Messi na Cristiano Ronaldo na wengine wachache

Nikikuonjesha utabadilisha kabila bure....utataka uwe wa kabila langu wakati kabila langu tumejaa mpaka tunauzana ili tupungue kidogo![]()
![]()
![]()

Aisee kumbeHakika hili nililifanyia kazi, sasa hivi hakuna mwenye kumtamani mwenzie....hata mke na mume hawatamaniani tena hapa![]()
![]()
Cc jje's & Kichwa Kichafu
Neybright & Joseverest
Baba na mama Chanja

Chunga tamaa mbaya![]()
![]()
![]()
Chunga tamaa mbaya![]()
![]()
![]()
Hivi kijana aliyeimba hii nyimbo siku hizi kapotelea wapi vile?
yupo huku mtaani kwetu tunauza naye u mama n'tiliyeNatamani mwl.wangu Nleterewa Nganengo angekuwa na kipawa cha kufundisha kama wewe....![]()
![]()
![]()
Hakuna uchochezi wowote, unatakiwa uthibitishe au utengue kauli yako maana nyie wanasiasa mmezoea sana hii promosheni mpya ya voda ya pindua pindua![]()
![]()
![]()
Japo sijui kiswahili, ila naona kuna dalili ya uchochezi hapa![]()

KabisaAisee kumbe![]()
![]()
Arsenal ilikuwa enzi zile akina Thiery Henry, Emmanuel Adebayor, Bakari Sagna na wengine.Mmmmh! Nina wasiwasi na wewe.....
U shabiki wa asernal nini?![]()
![]()
![]()
Mwambie aje akopi na kupesti ataweza
Kwahiyo unamaanisha kuwa ufanisi wako unapunguzwa na utukutu wa mwanafunzi wako? Ama kweli unastahili kutumbuliwa mchana kweupe![]()
![]()
Natamani ningekua na mwanafunzi mtulivu na asiye na wivu na tamaa kama jje's

![]()
![]()
![]()
Mkuu nishamzoea huyu mwanafunzi, hana kitu kingine zaidi ya uchochezi, ila soon ataanza kunielewa
Arsenal ilikuwa enzi zile akina Thiery Henry, Emmanuel Adebayor, Bakari Sagna na wengine.
Mmmhh, kwa sasa ninavyoisikia kwa juju ni bora Maji maji FC
Pambaneni na mzee Wenger wenu mkuu,kuikimbia timu sio suluhu,mnabaki mnaumia kimya kimya.

Hello kiswahili kwangu inaleta problem, at least chagga naijua kidogoHakuna uchochezi wowote, unatakiwa uthibitishe au utengue kauli yako maana nyie wanasiasa mmezoea sana hii promosheni mpya ya voda ya pindua pindua![]()
![]()
![]()

Nitakuelewaje wakati hujui kufundisha?![]()
![]()
![]()
Mkuu nishamzoea huyu mwanafunzi, hana kitu kingine zaidi ya uchochezi, ila soon ataanza kunielewa
umeona mshiki wako kakutana na mwl.hasa kaelewa ndani ya dk sufuri. Mimi mwaka wa tatu huu napoteza ada yangu bure,mwandiko wenyewe kumbe ulinifundisha wa kiume

Kwahiyo unamaanisha kuwa ufanisi wako unapunguzwa na utukutu wa mwanafunzi wako? Ama kweli unastahili kutumbuliwa mchana kweupe![]()
![]()
![]()


Mimi sijawahi kuishabikia Arsenal ila nimekutolea tu mfano jinsi ilivyokuwa tishio enzi zile.![]()
![]()
Pambaneni na mzee Wenger wenu mkuu,kuikimbia timu sio suluhu,mnabaki mnaumia kimya kimya.
Kama inazidiwa na majimaji basi tuwambie tff waishushe daraja ikacheze ndondo tu![]()
![]()
![]()