JamiiForums Usiku wa manane
Mimi sijawahi kuishabikia Arsenal ila nimekutolea tu mfano jinsi ilivyokuwa tishio enzi zile.

Nakumbuka 2006 ilicheza fainali ya UEFA dhidi ya Barcelona, mtanange ulikuwa ni wa kukatana na shoka kweli kweli japo Arsenal ilishindwa.

Nadhani toka kipindi hicho ndio mambo yakawa yanaenda mrama hadi leo hii.
kumbe una kumbukumbu nzuri.

nakumbuka hiyo mechi ilikuwa ya kukata na shoka. Kwa mara ya kwanza nilienda kuishuhudia pale uwanja wa taifa
 
ngoja nikuandalie mlungula ili siku ya kutugawia hizo akili mimi unipe nyingi( 3/4) na jje's umpe ndogo (1/4)
Hahaha nikafikiri na kukaa kote boarding mirembe tunakusaidia kumbe ndo tumekupoteza kabisa, si umesema wivu umeisha kitambo huu sasa umetokea wapi?
 
Back
Top Bottom