Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,318
Ndio komredi, hii ni ngeni kwako nini?Aisee
Long distance marriage![]()
![]()
Ndio komredi, hii ni ngeni kwako nini?Aisee
Long distance marriage![]()
![]()
Kila la kheriKesho ni zamu yangu kusoma somo la kwanza,wacha nilale nisije nikawacheleweshea somo waumini! Mlale salama,nawapenda nyote
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hii ni silabasi mpya inaendana na nchi ya Viwanda

Usijali mkuu utaipata, maana wanafunzi wenyewe hawaeleweki bora sisi tujifunze tu![]()
![]()
![]()
Mkuu hiyo silabasi nimeipenda, Fanya mpango niipate, ili niendane na kasi ya mukulu![]()
Inahitaji uvumilivu sanaNdio komredi, hii ni ngeni kwako nini?
CNAA kitandaa jmn ntalala wapii npo lindoLaleni jamani
Mwl nishafika darasani njoo unipe jibuHahaha, jitahidi kesho uwahi darasani ntakupa jibu lake![]()
![]()
Kweli aisee.. Tangu nimpoteze KK ndo nimeiona thamani yakeHahaha, wahenga wako walisema;- Huwezi ukaijua thamani ya kitu mpaka ukipoteze![]()
![]()

![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hii ni silabasi mpya inaendana na nchi ya Viwanda
viwanda hivi hivi vya kushona viraka au kuna viwanda vingine?Hata sijui, mwanafunzi akihitimu atabuni viwanda![]()
![]()
![]()
viwanda hivi hivi vya kushona viraka au kuna viwanda vingine?
mume kasafiri eeh.., haya kanyaga twende00:00 am