JamiiForums Usiku wa manane
Amen, amen, amen.
Na maombi yafanyike kwa ajili ya wote, zaidi kwa walio wachochezi na wenye tamaa kwa wake/waume wa jirani zao.
Hakika hili nililifanyia kazi, sasa hivi hakuna mwenye kumtamani mwenzie....hata mke na mume hawatamaniani tena hapa

Cc jje's & Kichwa Kichafu
Neybright & Joseverest
Baba na mama Chanja
 
Nisipokukumbuka wewe shemeji yangu nitamkumbuka nani?
(zaidi nilimiss lile pochi lenye karatasi nyekundu ulilonioesha siku ile )

Vp lakini mbona umekuja peke yako, Neybright na jirani yake Kichwa Kichafu umewaacha wapi?
Chunga tamaa mbaya
Chunga tamaa mbaya

Hivi kijana aliyeimba hii nyimbo siku hizi kapotelea wapi vile?
 
Back
Top Bottom