JamiiForums Usiku wa manane
Sisi mbona hatuna shida? Ndio nimetoka kule ulipokuwepo kumbe watu wana mambo hivi humu JF?
Siku zote hizi sina hata ninachokijua! Dah
🤣 🤣 🤣 acha umbea b wake mtu, ya kule yakasemewe kule kule. mdg wang Warumi alvyokua anasema mji mzito alimaanisha vingi hatukumuelewa tu 🤣
 
🤣 🤣 🤣 🤣 umesema wanajileta ulipo..? tumechoka kuringishiwa tunataka kubanana mumo
Weeeee, waulizeni wakongwe mpewe story zangu kwa mtu huyohuyo nilivyowasuuza zamani!
Hakuna wa kuiweza vita yangu.

Ila, wala hapatikaniki yule… watasumbuka bure.
Wala sina wasiwasi, niko nae na natamba nae mwenyewe 🤣🤣🤣
 
labda uniambie watu wameamua tu iwe yanini mieeeeee yanini mieeeeee. kuna Vijana hawachagui silaha ss hiv, ukizusha mnazushiana.
Btw umri utuongoze tu ss hiv
 
Back
Top Bottom