Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,900
- 82,154
1:09 AM
😁😂😂😂😂00:48 naangalia porn
Wewe unafanyaje😁😂😂😂😂
Me now nko home nasoma[emoji23]Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Mambo vp kiongoziMmelala? Amkeni tupige story
Kwema kbsMambo vp kiongozi
😝12:00 AM
Wakeshaji mpo? Nimewamithi....
Na mvua ndiyo zishataradadi
hapo haamki mtu.Na mvua ndiyo zishataradadi
Watu wapo busy muda huu na mambo yao....mashamba wamemwachia nyani amalizane nayohapo haamki mtu.
Na huu mwezi january watu na mambo yao, wengine hata hatufikirii.Watu wapo busy muda huu na mambo yao....mashamba wamemwachia nyani amalizane nayo