Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,436
- 92,227
😂😂😂jichomeke ulie,tunza kibunda usijeumbuka mwez mzima wa kwanzaNa huu mwezi january watu na mambo yao, wengine hata hatufikirii.
😂😂😂jichomeke ulie,tunza kibunda usijeumbuka mwez mzima wa kwanzaNa huu mwezi january watu na mambo yao, wengine hata hatufikirii.
Kumekucha mbona?Nikajoe nilale
Tresor Mandala Darlin Nifah Intelligent businessman Kichwa Kichafu Clarity
Analyse sikuhizi haukeshi
spurs kala zake miguu ya sturi katulia hataki kelele na mtu.Arsenal inanipa pressure, tuko Emirates na bado tunaongozwa bao 2
00:45
Ila hii Ligue kila mtu ana mbabe wakespurs kala zake miguu ya sturi katulia hataki kelele na mtu.
Kha kumbe westham waliongeza cha pili!Game imeisha
Arsenal 0 - Westham 2
Tumefungwa nyumbani, Emirates
01:19
Heri mimi nililala zangu mapema.Arsenal inanipa pressure, tuko Emirates na bado tunaongozwa bao 2
00:45
niliamini nimefunga gate la night kali kumbe ulikua njiani mtu wa b? 🤣 🤣 🤣03:06
Missing him!