ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 16,787
- 61,261
Nakuonea wivuuHuku Kuna bonge la mvuaa muda huu
Mimi napenda mvua za usiku.
Nakuonea wivuuHuku Kuna bonge la mvuaa muda huu
Mimi muda wote, napenda sana mvua.Nakuonea wivuu
Mimi napenda mvua za usiku.
We mwanga? 😂Muda wa kuchana Anga
Temeke na viunga vyakeWapi huko?
chai ipi chai b... maana nyie mnatuvuruga munooMimi muda wote, napenda sana mvua.
Niwe ndani tu nimechill nakunywa chai yangu naangalia kupitia dirishani inavyonyesha, hisia nzuri sana kuelezea!
Nime play ni fire 🔥🔥🔥 mkuu lazima utakua unapiga vyombo 😊😊Nakula ngoma hii saa hii baada ya mvua kukata
View attachment 2854168
Mungu atukumbuke na sisi wa Ilala vijijini.Temeke na viunga vyake
Aikoooh kuchana anga kwa sisi waaminio ni muda wa Sala na maombi 🤣🤣🤣We mwanga? 😂
Hongereni, mvua ni neema.Temeke na viunga vyake
Huko si ndio Kuna miti Mingi huko kitunda ,chanika ,msongola,mvuti mpaka dondweMungu atukumbuke na sisi wa Ilala vijijini.
Hallelujah!Aikoooh kuchana anga kwa sisi waaminio ni muda wa Sala na maombi 🤣🤣🤣
Ameeen . Maana huu mwaka sijauelewa kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hallelujah!
Hebu ngoja tuone tunaumalizaje 😂Ameeen . Maana huu mwaka sijauelewa kabisa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Madilu systēmèNime play ni fire 🔥🔥🔥 mkuu lazima utakua unapiga vyombo 😊😊