Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,418
- 82,375
Wewe sasa umekosea, ungesema karamu.Hapo anakuwepo mtu maalum ( mchukua jiko ) na watu wake tu maalum ndio wanaruhusiwq kula hii kitu inaitwa solo,usiniambie huijui bana au hujawahi kukutana nayo huko mtaani
Naachaje kuijua? Nimewahi kwenda kwenye harusi kadhaa za Kiswahili nimeona sana.