JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Anastahili kwakweli!
Ngoja siku nikileta story yangu mi na yeye uone kama ungeweza.
Haikuwa rahisi, ila alishinda ndio maana sasa hivi nimempa taji na kiti cha peke yake!
Hahahaha, haya Rafiki utanitag hiyo story ,ili niwe makini ktk kusoma comments za walimwengu humu
 
Hahahaha,we mie ni mkufunzi wa master, ndio huwa nakusoma vzr ,vzr sana , maandishi ya sasa na maandishi yaliyopita
Mimi pia, niko chini ya masta nimekuwa masta vilevile.
Huoni mabadiliko makubwa hata katika maandishi yangu sasa na zamani? Niko jikoni napikwa vyema, na nimeanza kuiva.
 
Acha ufalaaaaa, kwahiyo ndio unataka kunionesha wewe ni masta sio?
Hayo mambo madogo sana, isingekuwaga yale mambo mambo ndio ungenishtua ila baada ya pale wala sishangai mtu kujua.
Hahahaha,hapana Rafiki, nimeacha sorry
 
Nifah umeona solo hilo full kutoa shavu , sasa hili huliwa na watu maalum ktk tukio maalum
 

Attachments

  • s2.jpg
    s2.jpg
    100.4 KB · Views: 11
Ndio nini?
Hapo anakuwepo mtu maalum ( mchukua jiko ) na watu wake tu maalum ndio wanaruhusiwq kula hii kitu inaitwa solo,usiniambie huijui bana au hujawahi kukutana nayo huko mtaani
 

Attachments

  • s2.jpg
    s2.jpg
    100.4 KB · Views: 10
Back
Top Bottom