Eheeeee [emoji1787][emoji1787][emoji1787]00:05
Amekomaa na Man U yake, mi nimenuna nalala.
I love him either way.
2:28am usingizi hakuna
Mimi nikamwambia “Babe, hii mechi ya kukamilisha ratiba tu” Aaaah mechi ni mechi, mara akaleta hesabu zake wale wengine wakitoka sare wao wakashinda…
Tupo mkuu ,hahahahaKwa hii baridi ya leo Dar, sidhani Kama Kuna wanandoa wenye mgogoro.
Masharti utayaweza.?????Mwenye mganga mwaminifu aje pm,
Kuna mshenz kanilipa mabaya sana nahisi maumivu ya msiba sili silali kichwa hakipoi bila dawa.
Niitieni mganga anaeeleweka nataka nimjutishe mtu.
Kwa haya maumivu sishindwi jambo mleteeMasharti utayaweza.?????