JamiiForums Usiku wa manane
Guys kuna yoyote ashawah kurogwa na mama yake mzazi
Nilishasikia na nikutokana na mama kuhangaika na watoto peke yake toka wadogo mpaka wamefanikiwa. Mtoto akipata hela anawaza mama kwanza afu ndio mke. Akimpa hela mke anamwambia mama kwanza afu mama ndio anatoa go ahead. Hivyo inawezekana maana jamaa hawezi kupata watoto kila mkewe akishika mimba miezi 6 zinaharibika mama hataki mwanae wa kiume apate watoto maana ataacha kuhudumiwa. Hapo ni kufanya maombi tu. Pole aisee
 
Back
Top Bottom