Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,900
- 82,153
3:44 AM
Utupe updates plsUsingizi kwa kheri nataka nimuadabishe kibaka anayepapasa mlango huko nje
Umemtoroka!02:32
Anadhani nimelala, kumbe niko huku [emoji1787]
Hamnaaa, tumeagana kwa simu.Umemtoroka!
Mwambie upo huku ili ajue asiwe na wasiwasi.Hamnaaa, tumeagana kwa simu.
Kwanini usitoke njee ukamuonyeshe kuwa wewe ni mbabeUsingizi kwa kheri nataka nimuadabishe kibaka anayepapasa mlango huko nje
03:45AM...swala gani usiku wote huu jamani...Ili swala linaninyima usingizi
Nilishasikia na nikutokana na mama kuhangaika na watoto peke yake toka wadogo mpaka wamefanikiwa. Mtoto akipata hela anawaza mama kwanza afu ndio mke. Akimpa hela mke anamwambia mama kwanza afu mama ndio anatoa go ahead. Hivyo inawezekana maana jamaa hawezi kupata watoto kila mkewe akishika mimba miezi 6 zinaharibika mama hataki mwanae wa kiume apate watoto maana ataacha kuhudumiwa. Hapo ni kufanya maombi tu. Pole aiseeGuys kuna yoyote ashawah kurogwa na mama yake mzazi