mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
matangazo ya punguzo la 60% lifemate furniture bado hayajaanza kurushwa?Bado jamani, heeee!
matangazo ya punguzo la 60% lifemate furniture bado hayajaanza kurushwa?Bado jamani, heeee!
Yale matangazo ya “Msimu huu wa Krismasi na Mwaka mpya…. Inakuletea punguzo” Huku kukiwa na jingle bell background…matangazo ya punguzo la 60% lifemate furniture bado hayajaanza kurushwa?
Na matangazo ya lile roli la Coca Cola.Yale matangazo ya “Msimu huu wa Krismasi na Mwaka mpya…. Inakuletea punguzo” Huku kukiwa na jingle bell background…
Huwa nikisikia hivyo tu najua pamekucha, mwaka umeshakata.
upo mzigoni nini?View attachment 2813999
hakika leo usiku ni mrefu ndio kwanza saa 01:05
Hapana kamanda kulala bila kunywa ishaanza kuwa tabuupo mzigoni nini?
aisee, wakishua bana😂Hapana kamanda kulala bila kunywa ishaanza kuwa tabu
Mazoea tu kamanda sina ushua wowote mkuuaisee, wakishua bana😂
Ninavyoyasubiri hayo matangazo mwaka huu, nitacheza na kuimba kila wimbo wa Christmass…Na matangazo ya lile roli la Coca Cola.
Ova
Kigamboni 🤣Finland❌
Gongo la mboto✅
tafuta hela, finland sio mbaliKigamboni 🤣