MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 6,652
- 22,420
Radio one wanapiga old school nzuri za bongo mida hii
Tangu 2016 usiku nikilala sana basi nitalala kwa muda wa saa 1 tu, vinginevyo labda nipate mvinyo
Afya ipo ngangariDuh..afya vipi? Usingizi ni dawa
Nilikuwa natest mitambo b...B… Hii nayo ni manane kweli jamani?
Usiku wa manane ndio huu sasa.
Siku hizi nakutoa knock out kwenye kukesha b… Mwanafunzi kamzidi mwalimu.Nilikuwa natest mitambo b...
Ova
Ha ha ha haaa... Kwani vina muda basi, mi nimekaa paleeee! Tutamwona huyo mshindi mpya wa ukeshaji.Siku hizi nakutoa knock out kwenye kukesha b… Mwanafunzi kamzidi mwalimu.
Nayaaga mashindano, siwezi b…Ha ha ha haaa... Kwani vina muda basi, mi nimekaa paleeee! Tutamwona huyo mshindi mpya wa ukeshaji.
Ova
Lols! Mbona mshiriki unajitoa mapema hivi?Nayaaga mashindano, siwezi b…
Nitadhalilika b…Lols! Mbona mshiriki unajitoa mapema hivi?
Ova
Lol! Lakini, hata bingwa alianza kama mshiriki siku ya kwanza, ila baadaye ikaja kuwa historia.Nitadhalilika b…
We kushindana na bingwa la kukesha kuweza? Akha mie.
Hahahaaaa haki nimechekaaaaa.Lol! Lakini, hata bingwa alianza kama mshiriki siku ya kwanza, ila baadaye ikaja kuwa historia.
Ova
Ha ha ha haaa... Baada ya mwaka!Hahahaaaa haki nimechekaaaaa.
Unanidanganya ili unigaragaze sio? Basi ngoja nikomae.
Nitaleta ushindani lakini, sitashindwa kijinga.
Kwahiyo majumuisho yatakuwa baada ya muda gani b…?
Ili ushinde kwa kishindo? Maana unajua muda mfupi nitakomaa ila mwaka sitoboi!Ha ha ha haaa... Baada ya mwaka!
Ova
Bado jamani, heeee!12:00 AM
mwaka ndo unaisha hivyooo....