Nifah
Platinum Member
- Feb 12, 2014
- 34,417
- 82,369
Wewe, huu muda si ilikuwa….02:35
Ova
Sikuelewi b…
Wewe, huu muda si ilikuwa….02:35
Ova
Ujalala ndugu au unastress na life035903:05
Siku inaishia hapa…
Sikulala kwa furaha ya life Mkuu, stress nilishazisahau.Ujalala ndugu au unastress na life0359
Hii ni asubuhi mkuu sio usiku wa manane........0435
Nilijua kabla hujasema b... na ni vizuri leo upumzike mapema. Si ulisema leo ulikuwa busy sana?
Very...Nilijua kabla hujasema b... na ni vizuri leo upumzike mapema. Si ulisema leo ulikuwa busy sana?
Ova
Pole b... kesho itakuwa nayo ni siku, tutajumuika pamoja kama jana.Very...
Nikikomaa sana mwisho 01:00 b...
Why kama jana thou? nimecheka sana b...Pole b... kesho itakuwa nayo ni siku, tutajumuika pamoja kama jana.
Ova