HB wa kigogo
JF-Expert Member
- Aug 24, 2017
- 2,489
- 6,251
Nimekuja kufunga geti wadau
Shem nipo aisee... Nimefurahi kusikia unanikumbukaShemeji shemeji huku mnazima taa...
Hivi huo wimbo uliimbwa na nani vile?
Jamani nimemmiss shemeji yangu Joseverest,yuko wapi? Msalimie sana
Wewe..... siyo mida hii. Ni ucku wa manane ndo tunakuwepo hapa. Mi tu nililewa chakali, wameniacha pekee yangu. Na sasa naondoka.Shem nipo aisee... Nimefurahi kusikia unanikumbuka
Looh shem nisipokuwepo ndio unanifanyia hivi kwelijje's utamuweza kwa visa,mimi nilishamwambia awe huru na Kichwa Kichafu wake...
Waliokuwa wananitendesha hii dhambi ya kuhanti na Neybright na baby wake Joseverest kwa mibebishano yao...![]()
![]()
wasalimie mkuuWewe..... siyo mida hii. Ni ucku wa manane ndo tunakuwepo hapa. Mi tu nililewa chakali, wameniacha pekee yangu. Na sasa naondoka.
Mkuu upo
Kama unavyoniona..nipoooMkuu upo
Nini sasa
VzurKama unavyoniona..nipooo
Hello shemHelooooo
poa poa mkuuVzur
Karibu pande hiziNini sasa
Nakumisi sana Shem had I ganzi zimeishaHello shem
eti shem eeeee..... mimi nipo ni wewe tuNakumisi sana Shem had I ganzi zimeisha