jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,886
- 16,584
Shem acha hizo bhana, aga bas hata immediate familyeti shem eeeee..... mimi nipo ni wewe tu

Watu wa humu ndani nimewashindwa tabia yaani mkiwa na kesi mnapotea, mkiombwa kitu mnapotea kwanini mwalia gizani kwa kumwogopa jirani?
Neybright kukuomba uniazimishe baby wako ndo umekimbia kabisa jukwaa?
Kichwa Kichafu kukuomba twende wote mpirani ndo umepotea mazima?
Manga ML kukuomba unifundishe kubet umeacha na kukesha?
Nleterewa Nganengo Kukuomba dawa ya kupunguza wivu ndo umebadilisha na njia hupiti tena huku?
Samaritan kukuuliza swali ndo ukapotea mazima?
Joseverest kukwambia nitakuja uninunulie bombadia ndo hata nafasi yako ya 2 umeiacha kweli?
jje's kukukwambia naomba usiku mmoja tu na KK ndo ukaaga kabisa hapa jukwaani?
Maserati kukuomba blanket nijifunike kupunguza hili baridi ndo huonekani tena?
Jamani sio vizuri hivyo, mimi nilikuwa nawatania tu....kwanza MOYO WANGU SULTAN CHA MTU SITAMANI![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Thad aiseeHabari ya kwako mamaWatu wa humu ndani nimewashindwa tabia yaani mkiwa na kesi mnapotea, mkiombwa kitu mnapotea kwanini mwalia gizani kwa kumwogopa jirani?
Neybright kukuomba uniazimishe baby wako ndo umekimbia kabisa jukwaa?
Kichwa Kichafu kukuomba twende wote mpirani ndo umepotea mazima?
Manga ML kukuomba unifundishe kubet umeacha na kukesha?
Nleterewa Nganengo Kukuomba dawa ya kupunguza wivu ndo umebadilisha na njia hupiti tena huku?
Samaritan kukuuliza swali ndo ukapotea mazima?
Joseverest kukwambia nitakuja uninunulie bombadia ndo hata nafasi yako ya 2 umeiacha kweli?
jje's kukukwambia naomba usiku mmoja tu na KK ndo ukaaga kabisa hapa jukwaani?
Maserati kukuomba blanket nijifunike kupunguza hili baridi ndo huonekani tena?
Jamani sio vizuri hivyo, mimi nilikuwa nawatania tu....kwanza MOYO WANGU SULTAN CHA MTU SITAMANI![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
PouwazMamboz
Baby don't go! Jibu kwanza hoja ya Thad!Muwe na usiku tulivu
Byeee
Kila la kheriMuwe na usiku tulivu
Byeee
Ushauri wako nimeupata na nitauzingatia siku nyingine, Asante!Shem acha hizo bhana, aga bas hata immediate family

Poa shem...one loveMuwe na usiku tulivu
Byeee
Vipi sweetHelooooo
MwenyeweNzugwi tubung'we!!!
UnioteMuwe na usiku tulivu
Byeee