JamiiForums Usiku wa manane
Pambana kidogo bhana
Nasikia jana KK alivyokuwa anakuvhabo ukamfungulia kabisa
Hiz tetesi ni kweli?
Mie sasahivi itabidi nisiwe najitetea jje's, ni kweli nakiri kumpenda sana jirani yangu kichwa kichafu lakini watu hawapendi kutuona tunafurahi na jirani yangu kipenzi sijui shida ni nini, kwanza jirani tabia ya chabo ameacha siku nyingi toka afumwe na mmoja kati ya mababy nilionao.
 
Nilimfata

KK , duuh majirani wakaniambia yuko ndani kwa Ney, cjui kama ni kweli
Miguu iliisha nguvu nikasaidiwa na msamaria kunirudisha kwa kuniwek kwenye ambukance. Nilikuwa hoi cjajua mapenzi yana nguvu hivyo
pole sana ndugu....
Jifunze kutetea vilivyo vyako sasa wewe badala ya kuingia ndani umkunje Ney ukaishia kubebwa na ambulance, uje nikufundishe karate
 
Mie sasahivi itabidi nisiwe najitetea jje's, ni kweli nakiri kumpenda sana jirani yangu kichwa kichafu lakini watu hawapendi kutuona tunafurahi na jirani yangu kipenzi sijui shida ni nini, kwanza jirani tabia ya chabo ameacha siku nyingi toka afumwe na mmoja kati ya mababy nilionao.
Kwa jibu hili, jje's atakufa kwa presha....
Nleterewa Nganengo ukuje umsaidie mshiki wako anaibiwa vyake...
 
Nilimfata

KK , duuh majirani wakaniambia yuko ndani kwa Ney, cjui kama ni kweli
Miguu iliisha nguvu nikasaidiwa na msamaria kunirudisha kwa kuniwek kwenye ambukance. Nilikuwa hoi cjajua mapenzi yana nguvu hivyo
Alikuja kumsalimia hunter mwenzie, kwani hujui kuwa baby wangu na kk ni mabest sana? Ungekuja tuu mpz ona wapata BP bure kabisa wakati sisi ni family friend
 
Shemeji shemeji huku mnazima taa...
Hivi huo wimbo uliimbwa na nani vile?

Jamani nimemmiss shemeji yangu Joseverest,yuko wapi? Msalimie sana
 
Basi mamy...
Nimekuonea huruma,sitamfunza ngumi,nitamfundisha namna ya kumshikilia kk asiwe ana kutembelea wewe jirani yake
Hawezi kuacha kuja kwangu, kwasababu anamfata baby wangu. Ili awe na amani wawe wanakuja wote hunter akae na hunter mwenzie mimi nikae na jje's lakini tofauti na hapo kwakweli sidhani kama nirahis kumzuia kk kuja kwangu maana haji kwaajili yangu anamfata mwanaume mwenzie.
 
Basi zungumza na jje's ili umtoe wasiwasi maana wanasema eti wasiwasi wa mapenzi unaua..
 
Anahela za kutosha lakini?
Au wataka nije kuzeeka kabla ya umri kwa kuskiliza shida za kakaako mie aka
Shida zake zake tuu, shida zangu zake ila raha zetu sote
hata usihofu kaka yangu ana hela kama Dr.Shika,hata ukitaka 900 atakupa
 
Back
Top Bottom