JamiiForums Usiku wa manane
Darasa la watu wawili mmoja akiwa mwanafunzi na mwingine mwalimu linaboa sana, kuwa mwalimu haimaanishi unajua everything, kuna vitu vipya tunajifunza kwa wanafunzi pia
Ndio maana nimeamua kuongeza mwanafunzi mwingine ktk darasa nitakalo kufundisha. Chaajabu naona kama mnakwepana yaani hampendi kukaa darasa moja
 
Tafadhali usije ukanigombanisha na mshiki wako maana hana hizi habari za uanafunzi wa my love wake
Wacha weeh, umesahau mlivyokua mnapanga mikakati ya kuniengua alafu liingizwe toleo jipya tena bure kabisa
Mshiki tafadhali kuwa makini kuna Moshi pande hii, moto uu njiani kuja
 
Hili ukilifanikisha,nakuahidi kuwa nitahakikisha majaribio ya tongozo yanaanzia kwako.
Ila kuhusu ada itabaki palepale
Hahaha dadeki, itakua ulizaliwa kipindi ambacho mfumo wa butter trade unakufa ndo tunaingia mfumo wa pesa kama medium of exchange
 
Ndio maana nimeamua kuongeza mwanafunzi mwingine ktk darasa nitakalo kufundisha. Chaajabu naona kama mnakwepana yaani hampendi kukaa darasa moja
Hahaha bundi Thad bhana, hivi umewahi kuona wapi mwanafunzi wa elimu bila malipo akachanganywa na anayelipa ada, hii inawezekana kweli?
Nakataa kuwa Kaa.
 
Huu uchochezi si wa njii hii (in Mrema's voice) Hilo jicho lako la 3 linakudanganya
Ila hunter sio wa mchezo mchezo kwakweli, yeye huwa anawinda live na wala mshiki hashtuki, hapa kuna kitu amelishwa sio bure
Ngoja akija kwenye kikao December tutashughulikia hilo jambo
 
Aisee huu ni muda wa maombi yenye nguvu....wacha nitete kwanza na Muumba wangu,nimkumbushe ahadi zake kwangu
Maana anasema "Njooni tusemezane....."
 
Back
Top Bottom