JamiiForums Usiku wa manane
Wote ni wanafunzi na wote ni walimu.
Utofauti wetu:-
Mimi sikutozi pesa, wewe unatoza (naumia sana)
Mimi natumia bakora kwenye ufundishaji (hapa kidogo afadhali napunguza machungu ya ada)
Ndio maana unaniharibu badala ya kunijenga....tangu lini mwanafunzi akamfundisha mwalimu?
 
Kwakweli sitakusamehe kwa hili la kunifundisha kuandika mwandiko wa kiume,unaosababisha watu wadhani mimi ni mwanaume
Aisee, hawa vijana wa siku izi wajanja sana ujue, hiyo ni mbinu niliyofundishwa Cuba kwenye mafunzo ya kijasusi ili kukukinga na mashambulizi ya "Seduce you" kwa Prime Minista ila naona wameing'amua sasa
 
Unamaanisha wananiita dume gume ( sio gu dume) ili kujikinga na mashambulizi ya seduce me ya alikiba?
 
Tatizo ni kwamba waoaji wananipita bila kutambua kuwa mie ni muolewaji....!
Hahaha usihofu, kuna dawa ntakutengenezea ya kuita tongozo zikiambatana na miamala ya Mpesa, na Bank, jiandae kesho naanza safari ya kwenda msitu wa Kongo.
Ila cha ajabu navyokuhangaikia hivi hata ada huipunguzi
 
Hili ukilifanikisha,nakuahidi kuwa nitahakikisha majaribio ya tongozo yanaanzia kwako.
Ila kuhusu ada itabaki palepale
 
Ndio maana unaniharibu badala ya kunijenga....tangu lini mwanafunzi akamfundisha mwalimu?
Darasa la watu wawili mmoja akiwa mwanafunzi na mwingine mwalimu linaboa sana, kuwa mwalimu haimaanishi unajua everything, kuna vitu vipya tunajifunza kwa wanafunzi pia
 
Back
Top Bottom