JamiiForums Usiku wa manane
Kwa hii dakika moja ilosalia niwakie wote uck mwema
Namuona my kaka katia timu nilitamani niseme nae ila muda nao umenitenga
Najua fika kaja kwa mwanafunz kumfundisha
Kaka umekumbuka kuja na Bakora?
Hahaha bakora huwa naiacha mlangoni nikiingia darasani mpaka muda wa kutoka ndo naondoka nayo
Huyu ticha akili zake anazijua mwenyewe
 
Back
Top Bottom