JamiiForums Usiku wa manane
Mda wa tamthilia umeisha kwa wale wafuatiliaji, naomb muanze kusogea taratibu tuendelee tulipoishia
Volcan atakuja kupata kesi ya mauaji iwapo Derlin atakuwa amepoteza maisha baada ya kumzamisha kwenye jacuzzi

Kweli wapendanao hawaachani, wanapeana likizo tu 🙌

23:07
 
Huo ndo tunaita upendo wa kweli, mioyo ndo inazungumza
Kama mmlishaachana kuna haja gani ya kufanyiana utoto na drama....kwani watu hawajui ku-move on

Ila binafsi sina roho ya Visasi, naamini kupitia muda mchache wa mahusiano kuna vitu niliinjoi kutoka kwa mwenza yeye pia nahisi kuna sehemu nitakuwa nilimfurahisha.

Hivyo hakuna haja ya kujenga uadui

Labda kwa kuwa ni tamthiliya, hivyo tukae kwa kutulia

23:14
 
2319, tuendelee kuvuta upepo tuone hatma ni ipi, ila kuna tamthilia nyingne huwa zinaelezea maish halisi tunay yapitia
 
Ila kunavitu havizoeleki asee, esp kweny neno Mapenzi kuna muda watu wanajifariji nje kwamb hawateseki ila moyoni ni kilio kikuu nacheka ila naogopa soon tu nitaend kuanzisha familia na kijana wa watu tulio kutana ukubwan kila mtu na tabia zake, sijui kama nitakua nakuja huku kupiga kelele au nitakua busy kupepea ndoa, all in all nitawamiss sana Moyo wangu upo huku

2030,em njoeni niwasimulie hadith moja tukiwa tumekaa chini tukiuzunguka moto katikat yetu.,
 
Back
Top Bottom