Mbona bado mapemaNikalale sasa [emoji276]
Mkuu changamka uonjeshwe asali[emoji23]kama kawa
ah wee namtunzia mke wangu😂Mkuu changamka uonjeshwe asali[emoji23]
Kama uko karibu na Dance Club, kuna mizigo hapa ya kubeba12:00 AM
upweke + upwiru + sonona vinanitesa
Tunaandaa mazingira ya kubeba godoro na shuka tukalale0100,, pamepoa sana kwan mnawaza nni
Tunaandaa mazingira ya kubeba godoro na shuka tukalale
BadoAhaaa sawa sawa ushafika mwisho sio?
Bado
Afadhali Jukwaa linaonesha uhai,maana majukwaa yote utafkiri watu wamepotea duniani.
Hili jukwaa la usiku wa 8 sisi wengine ndio kumekucha😅[emoji3][emoji3]
Hahahaha,we utanikimbia, mie hapa naviziaOk tuendelee kusongesha durudum kimy kimya
Hili jukwaa la usiku wa 8 sisi wengine ndio kumekucha[emoji28]
Hahahaha,we utanikimbia, mie hapa navizia