JamiiForums Usiku wa manane
Kwa hii dakika moja ilosalia niwakie wote uck mwema
Namuona my kaka katia timu nilitamani niseme nae ila muda nao umenitenga
Najua fika kaja kwa mwanafunz kumfundisha
Kaka umekumbuka kuja na Bakora?
Lala unono,
mkabidhi funguo kaka yako maana hata mimi nalala zangu,Mwifa pia anatakiwa alale ili akue
 
Back
Top Bottom