JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,197
- 9,480
Hao niliwajaribu ni wahuni mno... Niliwapigia nearest office na nilipo...bora niwatafute konnect, wao ni 400k na kitu
sema wanaanza 60k/mo
Inavyoonyesha wanadeal na maofisi makubwa makubwa/makampuni tu...
Wakijua ni mtu wa kawaida tu wanajivuta na simu hawapokei tena ....
Wanahisi labda utatumia miezi miwili tu then ushindwe kulipia kuendelea nao.